hodi hodi wana JF

nzoya

Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
87
Reaction score
11
nashukuru admn kwa kupata nafasi hii ya kuwa mmoja ya wana JF kwani naamini ni sehemu ambayo nitazidi kujifunza mengi kwani jamvi hili ni zaidi ya darasa!na nipende kuwasali heshima yenu wakubwa na habari zenu kwa vijana. naomba ushirikiano wenu ahsanten!!
 
Karibu sana nzoya. Soma jf rules tafadhali, tutaongea asubuhi eeh mgeni.
 
nzoya karibu sana jamvini.
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana JF,karaha na raha zinapatikana hapa....
 

Karibu, na utaburudika pia, cos mpaka comedians wamo humu
 
ahsanten jaman nishakaribia ingawa sio mgeni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…