B Bukijo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2010 Posts 208 Reaction score 71 Sep 9, 2010 #1 Wana Jamii Forum hodii hodiii,nilikua bado sijafahamu kwamba kuna chombo cha ajabu kama hiki ambacho mtu ana uhuru wa kutoa maoni na kubadilishana mawazo!. Nashukuruni sana wadau kwa kubuni na kuendesha chombo hiki, Mungu awabariki sana!.
Wana Jamii Forum hodii hodiii,nilikua bado sijafahamu kwamba kuna chombo cha ajabu kama hiki ambacho mtu ana uhuru wa kutoa maoni na kubadilishana mawazo!. Nashukuruni sana wadau kwa kubuni na kuendesha chombo hiki, Mungu awabariki sana!.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Sep 9, 2010 #2 Karibu sana Bukijo.