Hodi Hodi WanaJAMII

Akami

Member
Joined
Sep 18, 2009
Posts
82
Reaction score
14
Ninafuraha sana mimi pia kuwa mwanafamiliya ya WanaJAMII,naombeni mnipokee jamani.

Nimekuwa nikisoma makala na maoni mbalimbali kupitia safu hii,HONGERENI NA AHSANTENI SANA KWA WOTE mnaotoa michango na kufanikisha forum hii iendelee kuwa hewani,pia SHUKRANI kwa wote mnaochangia mijadala mbalimbali na kuandika makala mbalimbali katika forum hii.Ukweli,binafsi mawazo yenu yamenifungua sana macho!Hakuna ubishi,"JAMII FORUM IS A PLACE FOR THE GREAT THINKERS"
 
Unakaribishwa kwa mikono yote miwili. Matatu mazito, pwa, pwa, pwa.
 
Welcome to the Home of great Thinkers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…