lwa kalolo
Senior Member
- Nov 24, 2014
- 173
- 94
Wapendwa watanzania wenzangu kwa kipindi cha miaka 2 nikiwa msomaji wa jamii forums leo nimeingia ndani naomba mnipokee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....umesomeka mkuumjukuu najua escrow imekufanya ujiunge humu! Karibu sana ila kama huna data usilete porojo humu ndani! Kuna watu wanaweza kukuchambua hata wewe na ukashangaa wamekujuaje!
Mjukuu humu kuna watu wazima wengine watoto ila utawatambua kwa hoja zao! Pia usipende sn kumuita mtu kaka au dada kwani wengi humu jinsia zao haziendani na ID zao!
Mkuu kuna makanjanja na wengine ni wajuzi wa kutunga mambo na unaweza ukahisi ni ukweli. Pia kuna watu wanafahamiana sn humu na huenda wakawa na ugomvi wao wa kitambo huko vibanda umiza, kwahiyo ukiona wanarushina maneno wewe kuwa mtazamaji.
Mjukuu humu ukienda kinyume na mods basi umekula ban! Hawajamaa ni invisible usikubali kukutwa.
Mjukuu mengine utayazoea tukiendelea kuwa pamoja.
KARIBU SANA JISIKIE UGENINI.
...kumbe issue ni ESCROW!!Asante sana mkuu kwa kunipa miongozo
...kumbe issue ni ESCROW!!