Hodi hodi wangwana

lwa kalolo

Senior Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
173
Reaction score
94
Wapendwa watanzania wenzangu kwa kipindi cha miaka 2 nikiwa msomaji wa jamii forums leo nimeingia ndani naomba mnipokee
 
mjukuu najua escrow imekufanya ujiunge humu! Karibu sana ila kama huna data usilete porojo humu ndani! Kuna watu wanaweza kukuchambua hata wewe na ukashangaa wamekujuaje!

Mjukuu humu kuna watu wazima wengine watoto ila utawatambua kwa hoja zao! Pia usipende sn kumuita mtu kaka au dada kwani wengi humu jinsia zao haziendani na ID zao!

Mkuu kuna makanjanja na wengine ni wajuzi wa kutunga mambo na unaweza ukahisi ni ukweli. Pia kuna watu wanafahamiana sn humu na huenda wakawa na ugomvi wao wa kitambo huko vibanda umiza, kwahiyo ukiona wanarushina maneno wewe kuwa mtazamaji.

Mjukuu humu ukienda kinyume na mods basi umekula ban! Hawajamaa ni invisible usikubali kukutwa.

Mjukuu mengine utayazoea tukiendelea kuwa pamoja.

KARIBU SANA JISIKIE UGENINI.
 
.....umesomeka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…