Nimekuwa mfatiliaji wa JF kwa takriban miaka miwili sasa na nikavutiwa na mada moto moto zitolewazo humu ndani pamoja na watu makini wenye uwezo wa kujenga hoja kama vile kiranga , na wengineo wenye mada kali kama vile stunter bila kumsahau Mshana Jr ,
Hivyo basi naombeni mnipokee kwa mikono miwili , vile vile ningependa kupata msichana wa kubadilishana nae mawazo aliye teyali anifuate inbox
Natumai mtanipokea kwa mikono miwili na ombi langu la kupata mpenzi pia litazingatiwa!!!!!!!!!