hodi hodi waungwana

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,133
Reaction score
26,766
jamani nipokeeni mgeni wenu kwa muda mrefu nilikuwa mfuatiliaji tu wa mambo kadha wa kadha yaliyokuwa yanazungumziwa humu JF nadhani sasa wakati muafaka kuingia na mimi nitoe mchango kwa kadiri ya uwelewa wangu ,nipokeeni jamani:redface::redface::redface:
 
Mh karibu sana ila jina lako ndo limenishtua sana aisee
 
Ding dong ulikua unapita kwanje tu karibu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…