cenzo Senior Member Joined May 7, 2015 Posts 124 Reaction score 28 May 8, 2015 #1 Habari za leo waungwana wa jamii forums mimi ni mgeni naombeni ushirikiano wenu ili kuendeleza libeneke Asanteni sana
Habari za leo waungwana wa jamii forums mimi ni mgeni naombeni ushirikiano wenu ili kuendeleza libeneke Asanteni sana
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 May 8, 2015 #2 Karibu sana JF...
cenzo Senior Member Joined May 7, 2015 Posts 124 Reaction score 28 May 8, 2015 Thread starter #3 Asante muungwana
Bangsweezy JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 880 Reaction score 200 May 8, 2015 #4 karibu mgeni JF
cenzo Senior Member Joined May 7, 2015 Posts 124 Reaction score 28 May 8, 2015 Thread starter #5 Asanteni wajemeni naombeni maelekezo. Ni wapi naweza kumwaga matukio au maswahibu yaliyonikuta maana nina uchu wa kutoa niliyonayo ili tuchangie
Asanteni wajemeni naombeni maelekezo. Ni wapi naweza kumwaga matukio au maswahibu yaliyonikuta maana nina uchu wa kutoa niliyonayo ili tuchangie
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 May 10, 2015 #6 cenzo said: Asanteni wajemeni naombeni maelekezo. Ni wapi naweza kumwaga matukio au maswahibu yaliyonikuta maana nina uchu wa kutoa niliyonayo ili tuchangie Click to expand... Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki
cenzo said: Asanteni wajemeni naombeni maelekezo. Ni wapi naweza kumwaga matukio au maswahibu yaliyonikuta maana nina uchu wa kutoa niliyonayo ili tuchangie Click to expand... Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki
amoneyazan JF-Expert Member Joined Jan 10, 2013 Posts 698 Reaction score 469 May 10, 2015 #7 Nikitaka kuanzisha thread mpya nafanyaje?
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 May 11, 2015 #8 Karibu sana JF mjukuu.......