HODI HODI wenyeji mpoo.

HODI HODI wenyeji mpoo.

Panda II

Senior Member
Joined
May 25, 2017
Posts
173
Reaction score
319
Habarini wadau, Baada ya kusoma nyuzi za JF kwa mda mrefu (since 2011) bila kuomba membership, Leo nimeamua rasmi kuingia katika Forum na mimi niwe mmoja wa wachangiaje. Ahsante

I am looking forward to hear from you members.

PANDA II
 
kwamba sijapokelewa au members wamehama
 
Habarini wadau, Baada ya kusoma nyuzi za JF kwa mda mrefu (since 2011) bila kuomba membership, Leo nimeamua rasmi kuingia katika Forum na mimi niwe mmoja wa wachangiaje. Ahsante

I am looking forward to hear from you members.

PANDA II
Karibu, mgeni mwenyeji.
 
Jitambulishe kwa majina yako halisi na pia tupia ka picha
 
Back
Top Bottom