Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekua maranyingi natombelea blog hii imenivutia namimi nimeona ni vema nikajiunga nipatekutoa mchango wangu
Nimekua maranyingi natombelea blog hii imenivutia namimi nimeona ni vema nikajiunga nipatekutoa mchango wangu
eeh mgeni taratibu kidogo....karibu sana lakini
karibu sana jisikie uko mahari pazuri na salama kwa kupata elimu, bur'dan, n.kNimekua maranyingi natembelea blog hii imenivutia namimi nimeona ni vema nikajiunga nipatekutoa mchango wangu
Thanx nashukuruni sana ila samahani kwa typing error, by the way preta i like your avatar