Hodi hodi wenyewe humu!

Umkondo wa Swize

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
282
Reaction score
89
Jamani nipokeeni kijana wenu nimekuja kwa lengo la kuelimishana na kutetea masrahi ya Taifa hili yanayo liwa na wachache ambao tunaweza kuwaita mafisi.
Naombeni ushirikiano wenu.
 
Jamani nipokeeni kijana wenu nimekuja kwa lengo la kuelimishana na kutetea masrahi ya Taifa hili yanayo liwa na wachache ambao tunaweza kuwaita mafisi.
Naombeni ushirikiano wenu.
Karibu sana jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…