moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,151
- 2,979
Asante mkuuKarbu
wakati najiunga jf sikujitambulisha, nimeona sasa nijitambulisheWe mwenyeji kulikoni tena?
Mkuu hata mi nilipitiliza hadi ndani. Kumbe sikufata protocolwakati najiunga jf sikujitambulisha, nimeona sasa nijitambulishe
vip mkuu kwani nguvu ya maji huijui mkuu.... Water always goes where it wants to go,Nothing can resist waterDah aya majina mengine bhana eti moto wa maji. . Ndo ukoje huo moto asee. ..anyway karibu Sanaa jf
hapana mkuuKaribu asee
Na wewe ni team ray ee
Mkuu huyajui majina ya wanaume wa dar?we ni mmoja ya wanaUme wa daR au vipi..ila karibu
Duu PamojaMkuu hata mi nilipitiliza hadi ndani. Kumbe sikufata protocol
Asante mkuuKaribu sana