Heh heh heh ...
Karibu sana mkuu.. nakupa wiki tatu tuu utafika nilipofika mimi.
Mimi nimefika hapa...
Kila nikilog in JF najikuta nina gari, nina Master's degree, income yangu ni 7-figurres, nikilog out najikuta njaa inaniuma, mfukoni nna mia nne hamsini halafu kijiweni hamna hata gar yakuosha maana hali ngumu wenye magari yao wanaosha nyumbani, hawaleti car wash.
Kila nikilog in najikuta nimekua handsome boy, bingwa wa madem, Expert wa Female Anatomy, najikuta nina tango.
Masikini ya mungu nikilog out kitu chakwanza najiuliza hiki kibamia ntakua mgeni wa nani mimi, ukichanganya na hii sura yakihenga.
Utafika nilipo.
Ila kipimo ni
Kiduku, hautakiwi kumzidi huyo