Hodi hodi wenyewe

Indoraptor

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2019
Posts
249
Reaction score
506
Leo nimefurahi kupata "approval" ya kuwa member wa Jamiiforums. Mnipokee kwa mikono miwili kabisa mwanachama mpya.
Hope tutakutana katika majukwaa mbalimbali ya jamvi hili.
 
Karibu jamvini...jinsia yako tafadhari?
 
Heh heh heh ...

Karibu sana mkuu.. nakupa wiki tatu tuu utafika nilipofika mimi.

Mimi nimefika hapa...

Kila nikilog in JF najikuta nina gari, nina Master's degree, income yangu ni 7-figurres, nikilog out najikuta njaa inaniuma, mfukoni nna mia nne hamsini halafu kijiweni hamna hata gar yakuosha maana hali ngumu wenye magari yao wanaosha nyumbani, hawaleti car wash.

Kila nikilog in najikuta nimekua handsome boy, bingwa wa madem, Expert wa Female Anatomy, najikuta nina tango.

Masikini ya mungu nikilog out kitu chakwanza najiuliza hiki kibamia ntakua mgeni wa nani mimi, ukichanganya na hii sura yakihenga.

Utafika nilipo.
Ila kipimo ni Kiduku, hautakiwi kumzidi huyo
Leo nimefurahi kupata "approval" ya kuwa member wa Jamiiforums. Mnipokee kwa mikono miwili kabisa mwanachama mpya.
Hope tutakutana katika majukwaa mbalimbali ya jamvi hili.
 
Leo nimefurahi kupata "approval" ya kuwa member wa Jamiiforums. Mnipokee kwa mikono miwili kabisa mwanachama mpya.
Hope tutakutana katika majukwaa mbalimbali ya jamvi hili.
Unafaa kwa matumizi yangu,umeolewa?...
 
Agiza smart gini popote ulipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…