wakubwa shikamoni,wadogo mambo,mimi ni mgeni humu ndani ila ni ila ni mwenyeji nje,nimekuwa nikisoma mawazo yenu humu ndani kwa muda mrefu nimevutiwa nayo sana na mengi yanafundisha.si mnajua tena mtu mzima majukumu yanaweza yakakushinda halafu ukawa huna pakuyapeleka.Nadhani mmenielewa naomba mnikaribishe.