RIZIKI ALLYS MUHUNZI
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 637
- 778
Napenda kuwasalimia habari zenu na poleni kwa majukumu ya kuelimishana ktk jukwaa ili pendwa natumaini tutashilikiana kwa namna yeyote ktk kujenga taifa ili, sitakua ktk upande wwte kiitikadi ila nahaidi nitakua mpenda haki na msema kweli daima mungu awe pamoja nasi ndugu zanguu asanteni sana