Hodi hodi

RIZIKI ALLYS MUHUNZI

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
637
Reaction score
778
Napenda kuwasalimia habari zenu na poleni kwa majukumu ya kuelimishana ktk jukwaa ili pendwa natumaini tutashilikiana kwa namna yeyote ktk kujenga taifa ili, sitakua ktk upande wwte kiitikadi ila nahaidi nitakua mpenda haki na msema kweli daima mungu awe pamoja nasi ndugu zanguu asanteni sana
 
Karibu sana mkuu!!ila umgeweka na picha ungebarikiwa sana asee!!
 

Karibu sana..ila ungetoa iyo picha au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…