Mch.A.Mwasapile Member Joined Mar 9, 2011 Posts 33 Reaction score 5 Mar 10, 2011 #1 Wandugu.....mie mgeni. Naomba kuwa mwenzenu. Nitaweka vipi picha pembeni mwa jina langu?
WiseLady JF-Expert Member Joined Jan 22, 2010 Posts 3,268 Reaction score 531 Mar 10, 2011 #2 karibu sana mch.mimi pia ni mch.wa kondoo wa Mungu sijui wewe ni wa aina gani......ila ulipaswa kuingilia kile chumba kingine cha kujitambulisha:welcome:
karibu sana mch.mimi pia ni mch.wa kondoo wa Mungu sijui wewe ni wa aina gani......ila ulipaswa kuingilia kile chumba kingine cha kujitambulisha:welcome:
Keren_Happuch JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 1,874 Reaction score 935 Mar 10, 2011 #3 Karibu sana Mch. Habari za Loliondo? Vipi huduma huko? Kuhusu kuweka picha, nenda kwenye settings, then change avatar! Barikiwa.
Karibu sana Mch. Habari za Loliondo? Vipi huduma huko? Kuhusu kuweka picha, nenda kwenye settings, then change avatar! Barikiwa.
NITATOA USHUHUDA JF-Expert Member Joined Jul 6, 2017 Posts 757 Reaction score 728 Feb 16, 2018 #4 MKUU KARIBU SANA