Upo vizuri kwa kukaribisha wageni.Karibu sana
Upo vizuri kwa kukaribisha wageni.
Kila mgeni mpya unae utadhani ww ni mod.Ili wasijisikie wapweke
Kila mgeni mpya unae utadhani ww ni mod.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa huwezi jua labda nitakuja kuwa mod mbeleni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
All de best ila unikumbuke ktk ufalme wako wa ki mod.
Hahahahahah..Nikiupata tu naremba jina langu liwe numby,ole wako uniite numbisa utachezea ban ya muda usiojulikana hahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mod ndiyo nn