minya zubery
New Member
- Sep 22, 2021
- 2
- 1
Aisee nimechekaKaribu sana ila simama apo nje kwanza mbona unasura ya kinyang'anyi?
Ujio wako ni kwa wema kweli?
Bila Shaka wewe utakuwa mbena au mkinga na uchawi wenu baki huko huko njewenyeji wangu habar zenu