Onychomycosis
Member
- Dec 24, 2008
- 22
- 2
Hodi wanaJF naomba ukaribisho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah Really?Kitendo tuu cha kuregister na kuweza ku log in ndio ukaribisho wenyewe. Hii ni freedom of expression forum hivyo kuwa huru kuchangia chochote kwa mujibu wa mawazo yako. Kuwa tayari kupokea pongezi na asante nyingi pale unapochangia mambo ya maana na uwe tayari pia kupokea criticism na matusi ya rejareja pale baadhi ya member watakapoona umemwaga pumba. The only one good thing you are sure 100% is, no one can touch you.
Waheshimiwa hayo ni ya kweli nandio sawa,napendekeza tu yale matusi ya rejareja yawe ya Kidiplomasia, yasifike nguoni na kuvuka mipaka.
Hodi wanaJF naomba ukaribisho.