Hodi hodi

hello jamani vipi hali zenu wadau


Unauliza hali zetu kivipi Paparazi?

Za kiafya?

Za kimaslahi?

Wewe umeingia kwenye Jukwaa la Utambulisho, sasa ukitaka kujua hali zetu, hiyo ni ishu tofauti.

Ndo Upaparazi wenyewe nini?
 
Karibu ila utuletee picha za matukio ya kutosha.
 
Paparazi ile picha umenipiga mwaka sasa umeisha unaniambia bado iko studio inasafishwa?

anywasy karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…