hodi hodi

hodi hodi

Kemchoo

Member
Joined
May 22, 2012
Posts
20
Reaction score
1
baada ya muda mrefu kuwa "mchunguliaji" wa jf sasa leo nimefanikiwa rasmi kuwa mwanachama. Shukrani kwa uwongozi na member wote!
 
baada ya muda mrefu kuwa "mchunguliaji" wa jf sasa leo nimefanikiwa rasmi kuwa mwanachama. Shukrani kwa uwongozi na member wote!

Karibu sana JF, jisikie upo nyumbani
 
Karibu sana, ingia utawakuta wenyewe watakujulisha kona zote za jumba hili. Ukitaka tuonane uwe unakuja basi kwenye kijiwe cha mabisiness na wajasiliamali tubadilishane mawazo. Sasa mbona uko mikono mitupu au ndo umeshamaliza zawadi zote? Si unajua mgeni njoo mwenyeji apone!
 
Back
Top Bottom