Wana JF wenzangu, natumai muwazia na wenye afya, natumia nafasi hii kujitambulisha kwa uwepo wangu ndani ya ungwe hii adhimu iliyojaa elimu, tafadhali nipokeeni ili nami nipate mawili matatu ya kunifungua akili. Natanguliza asante zangu kwenu 🙂 .
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums