Endelea ila usivunje sheria za jf.hodi hodi uwanjani,
kwa wa vioo vya rangi na wa viganjani,
nakaribia uwanja wa nyumbani,
....niendelee? :redface:
hodi hodi uwanjani,
kwa wa vioo vya rangi na wa viganjani,
nakaribia uwanja wa nyumbani,
....niendelee? :redface:
Karibu sana JF mkuu...
Hahaha! Hii ni maajabu!Tangu 2013 walikuwa hawajakupokea kwa masham sham, kwa nini?