Bahati yangu
Member
- Sep 30, 2013
- 30
- 7
karibu sana jamvini Bahati yangu jamvini. Umetokea wapi?Wapendwa hodi hodi nashukuru kwa kupata nafasi ya kujiunga humu jamvini
Aksante UlimakafuKaribu sana JF MJUKUU............
karibu sana jamvini Bahati yangu jamvini. Umetokea wapi?
Karibu JF.
Kumbe ni jirani yangu? Wapi...?Aksante Katavi mbona mimi ni jirani yako.