Baada ya kipindi kirefu kuwa nachungulia jf na kuishia sebulen nimeona ni vyema sasa na wakati muafaka kuingia mpaka chumban.
Naomba mnipokee na kunikaribisha waungwana
Asante sanaKaribu JF
Asante mkuu!!!!!Karibu mkuu
asante sana mkuuKaribu sana
asante mkuuKaribu JF