Hodi hodi

Hodi hodi

Joined
Nov 17, 2015
Posts
97
Reaction score
23
Hodi humu ndani kwa Waungwana wa JamiiForums.
Nategemea kupata mambo mengi mazuri kutoka kwenu wadau na mimi nawaahidi ushirikiano mkubwa toka kwangu kadri jinsi Bwana Mungu atakavyoniwezesha.
Hodiniiii.
 
Karibu sana Mkuu...

Utoe ushirikiano ila angalia usisahau majukumu yako ukakesha Jamiiforum ...Wengine wako kazi huku
 
Hodi humu ndani kwa Waungwana wa JamiiForums.
Nategemea kupata mambo mengi mazuri kutoka kwenu wadau na mimi nawaahidi ushirikiano mkubwa toka kwangu kadri jinsi Bwana Mungu atakavyoniwezesha.
Hodiniiii.

Karibu sana kama ulivyipewa taadhari kumbuka majukumu yako ya kila siku japo ndio hivyo huku kuna watu wapo kazini hakikisha hauharibu mfumo wako wa maisha sawa.
 
Back
Top Bottom