Irenga JF-Expert Member Joined Dec 14, 2015 Posts 2,639 Reaction score 1,873 Dec 25, 2015 #1 Hodii.... Sina budi kubisha hodi kwa sababu ndio naingia sehemu ngeni ambayo wenyeji wake wamekwisha andaa mazingira yake vizuri.Kwa mantiki hiyo ni lazima niombe utambuzi wenu kwangu ili tuwe nanyi pamoja. Naombeni ushirikiano wenu.
Hodii.... Sina budi kubisha hodi kwa sababu ndio naingia sehemu ngeni ambayo wenyeji wake wamekwisha andaa mazingira yake vizuri.Kwa mantiki hiyo ni lazima niombe utambuzi wenu kwangu ili tuwe nanyi pamoja. Naombeni ushirikiano wenu.
Papaa man Member Joined Jul 30, 2015 Posts 16 Reaction score 8 Dec 25, 2015 #2 Nami pia ni mgeni, ila karibu sana
G Gojaga Nize JF-Expert Member Joined Jul 1, 2015 Posts 2,799 Reaction score 1,809 Dec 25, 2015 #4 Karibu, ila usifanye fujo utajuta kuingia huku
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Dec 26, 2015 #5 Krb sana JF mjukuu wetu.