Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
Wasalam,
Mla Bata nimeukataa ukware, madunga embe sasa mimi basi, mwajuma, sikujua, waseme, zubeda, tumaini, Mimi na nyie baaaasi, natafuta jiko NIOE wakuu na jiwe langu nataka kulirusha nchini Eritrea, moyo wangu umekufa kwa watoto wa "kunama" na "saho"
Wandugu, kama kuna mtu ana uzoefu na kufahamu zaidi jamii ya watu hawa hebu mnisaidie, nimepanga mwisho wa mwaka huu niingie huko nikae hata mwezi kukamilisha Jambo langu, Kama kuna ABC zozote mnipatie waungwana.
Nyongeza: Ni wapi kwa Tanzania hii jamii inapatikana kwa wingi?
Natanguliza shukrani.
Say no to #ukware
Wasalam.