Kweli kabisa Wairaq,warangi,wanyaturu,wanyiramba,wambulu wanafanana sana na waethiopia hadi wasomaliEritrea ilikuwa ni sehemu ya Ethiopia, hivyo Waeritrea na Waethiopia ni damu moja. Kikawaida na masimulizi ya wengi ni watu wenye ujivuni na kujiona sio waafrika, ni watu wa jamii ya kupenda ufahari wa mila, desturi, tamaduni na historia yao ya vizazi na vizazi kurud kwa babu yao Mfalme Daudi. Kuoa Mueritrea ni kama Interracial Marriage kwa Mbantu.
Race ya Kiethiopia/Kieritrea unaweza ipata kwa wingi, Manyara mpaka Singida, Wairaqw, Wasi, Warangi na Wanyaturu ni jamii ile ile though Warangi wao wamefanana zaidi na Wasomali mpaka Lafudhi.
Kama unataka kwenda kupata exposure, nenda ila kama Unataka kutafuta mke mwenye urembo na muonekano bomba unaweza mpata hata Hanang, Katesh, Babati kwa gharama nafuu kabisa.
Wishing you all the best katika hili Broh!!
Hawafai labda uwe na bahati sana. Nilikuwa na uhusiano na mmoja wao wakati nafanya masters ningali kijana. Binti yule alikuwa mrembo sana na alikuwa anapenda sana kuolewa na kuhamia Tanzania lakini alinishinda kitabia mapema sana nikachana naye.Wasalam,
Mla Bata nimeukataa ukware, madunga embe sasa mimi basi, mwajuma, sikujua, waseme, zubeda, tumaini, Mimi na nyie baaaasi, natafuta jiko NIOE wakuu na jiwe langu nataka kulirusha nchini Eritrea, moyo wangu umekufa kwa watoto wa "kunama" na "saho"
Wandugu, kama kuna mtu ana uzoefu na kufahamu zaidi jamii ya watu hawa hebu mnisaidie, nimepanga mwisho wa mwaka huu niingie huko nikae hata mwezi kukamilisha Jambo langu, Kama kuna ABC zozote mnipatie waungwana.
Nyongeza: Ni wapi kwa Tanzania hii jamii inapatikana kwa wingi?
Natanguliza shukrani.
Say no to #ukware
Wasalam.
Aisee, shukrani kwa mchango wako comrade, Nini hasa ilikuwa changamoto ya binti huyo?Hawafai labda uwe na bahati sana. Nilikuwa na uhusiano na mmoja wao wakati nafanya masters ningali kijana. Binti yule alikuwa mrembo sana na alikuwa anapenda sana kuolewa na kuhamia Tanzania lakini alinishinda kitabia mapema sana nikachana naye.
Afro-AsiaticVery useful comment, shukrani mkuu.
Ila hapo kwenye kujiona so waafrika, huwa wanajiona race gani?? 😅