noohismail
New Member
- Aug 8, 2013
- 1
- 0
Mungu Ibariki Tanzania na wanyonge wake wasio kuwa na uwezo, Mungu ibaariki Africa na walalahoi wote ameeen ameeen.
Ningependa kutoa yangu moyoni haswa yanayonikera mimi binafsi ni muda sasa vyombo vya habari vinatoa au vinaonyesha kuhusu madawa ya kulevya yanavyo maliza tegemeo la nchi baadaye hivi hivi sijui hili Taifa vijana wakiisha litaendeshwaje ndugu zangu kila mmoja awe askari wa mwenzake akiona mwenzake amekata kamba atoe taarifa na awe na uchungu naye na asifurahi vile anavyofanya sio vizuri kwake na kwa jamiii kote kwani waswahili wanasema ukiona mwenzako anyolewa basi tia maji na wewe.