HODI HODIII JF

Joined
Feb 5, 2018
Posts
91
Reaction score
51
habarini wana JF mimi ni member mpya humuuuuu mnikaribishe,,,, pia napenda kuwajulisha kuwa ni tabibu wa tiba asili
 
Karibu sana, kumbuka vitu hivi:
1. kila mmoja humu ni "mkuu".
2. Jiandae kukabiliana na mashambulizi ya maangamizi ktk koment au nyuzi zako.
3. kila mmoja humu ni wa level ya chuo kikuku.
4. Kila mmoja lazima ajionyeshe yeye wa " kishua" kama wewe hivyo.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] ngoja nikalale kwanza nitarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…