Hodi humu jamani nipokeeni

kamtu33

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
998
Reaction score
409
Habari zenu wana jukwaa hili? mi mwenzenu ila nilikuwa kule jukwaa la siasa, nimeamua kuhamia huku kule kumenishinda kabisa, lile jukwaa limekuwa kama Bunge la Tanzania (majungu, kejeli, vijembe, matusi na mengine mengi) naombeni mnikalibishe pls!
 
Kweli kabisa mkuu, bora uje huku jikoni upike. Siasa ngumu na ngumi hukohuko atii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…