Hodi humu jamani

Ikengya

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
614
Reaction score
178
Baada ya muda mrefu niliokuwa nikisoma post zenu na mimi sasa najiunga ili niweze hata kuweka mawazo yangu ya kujenga nchi.
 
karibu,sio ya kujenga tu hata ya kuibomoa nchi pia yanaruhusiwa sana.kwa sbb kuna watu humu kila kitu kwao ni kibaya hakuna kizuri kwa hiyo utajikuta unalazimika kusema tuuu!!!!!
 
karibu Mkuu, ila mlango ulioingilia sio sahihi. Mods watakuelekeza!
 
nashukuru mlio nikaribisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…