Salago strepto
Member
- May 5, 2021
- 47
- 57
Nawasalimu wadau wote humu jamvini. Nimekuwa msomaji kimzimu kwa muda mrefu sasa nimeamua kujiunga rasmi. Naomba mnipokee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana kwa ukaribishoKrb sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.
Pouwa mjukuu.Nashukuru sana kwa ukaribisho
Ahsante sanaKaribu sana JamiiForums...
Nashkuru sana maana JF ni zaidi ya ShuleKaribu mno
Nashkuru mkuu kwa utayari wake/wenu, kikubwa ninachohitaji ni maarifa kutoka kwa GT wa humu JF japo kuna mengi yanayopatikana kwenye jukwaa hiliUngependa tukusaidie nini kijana