Salago strepto
Member
- May 5, 2021
- 47
- 57
Nashukuru sana kwa ukaribishoKrb sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.
Pouwa mjukuu.Nashukuru sana kwa ukaribisho
Ahsante sanaKaribu sana JamiiForums...
Nashkuru sana maana JF ni zaidi ya ShuleKaribu mno
Nashkuru mkuu kwa utayari wake/wenu, kikubwa ninachohitaji ni maarifa kutoka kwa GT wa humu JF japo kuna mengi yanayopatikana kwenye jukwaa hiliUngependa tukusaidie nini kijana