karibu sana gentleman 🐒Ndugu zangu katika umoja mnikaribishe humu ukumbini. Najua nipo sehemu sahihi. Nahitaji ushirikiano wenu, hasa katika eneo langu la ushauri na nasaha. Focus yangu vijana na wanandoa. Nimejiunga mahususi kwa habari ya ujumbe wa upendo. Tutakutana humo ndani ya kumbi za jukwaa, asanteni
Asante sana mkuuKaribu San mkuu
Asante sanaKaribu kaka
Shukrani mkuuKaribu San mkuu