Kumbe nawewe kama MimiWageni watakuja wengi maana 'vistors' wamewekewa kibano kukali...miaka 2 na usher naingia kama visitor ila Juzi nimebanwa Hadi Nika log in....shenzi Sana!
Asante mkuu. Halafu mkuu mbona kila MGENI hapa jf wewe ndo huwa wa kwanza kumpokea ?Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Mimi ndo babu lao, hivyo lazima nionyeshe uungwana babu.Asante mkuu. Halafu mkuu mbona kila MGENI hapa jf wewe ndo huwa wa kwanza kumpokea ?