pesa six pack halisi Member Joined Oct 29, 2017 Posts 49 Reaction score 63 Oct 30, 2017 #1 Leo ni siku yangu ya pili kuwamo humu ndani na nimeona si vyema kuwavamia "great thinkers" kimya kimya!! Lengo ni kujifunza vitu mbalimbali na kuongeza mtandao wa marafiki!
Leo ni siku yangu ya pili kuwamo humu ndani na nimeona si vyema kuwavamia "great thinkers" kimya kimya!! Lengo ni kujifunza vitu mbalimbali na kuongeza mtandao wa marafiki!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 May 27, 2022 #2 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.