Hodi humu ndani, naomba mnipokee kijana wenu

We umejiunga toka 1 april 2020 acha ujinga bwana mdogo
ila sijawahi kujimbulisha Tangu nimejiunga nikawa situmii mara kwa mara.
Niwie radhi kwa ujinga wangu mkuu
Na ujinga huu umetokana na kutokujua matumizi kwa ufahama matumizi ya jf
 
Jibu Zuri, na lina busara ndani yake.
Najua amejisikia vibaya maana alitaka upanic mtoleane mapovu.
 
Uko sahihi brother ningeomba ubadilishe baadhi ya sehemu hasa uliposema umejiunga majuzi
 
Jibu Zuri, na lina busara ndani yake.
Najua amejisikia vibaya maana alitaka upanic mtoleane mapovu.
Mkuu uko sawa ila angalia umeshindwa Kumrekebisha ila uliona bora "nipanic na kutoa povu"
 
Jibu Zuri, na lina busara ndani yake.
Najua amejisikia vibaya maana alitaka upanic mtoleane mapovu.
sikutaka tufike huko maana hakuna faida ya kufika huko nilichagua kushindwa
 
Member since 2020 unabisha hodi leo 2022 two years upo ndani hukubisha hodi.
 
Karibu Jf
nimependa ulivyojibu kwenye post namba 3
 
Back
Top Bottom