GANA BANKS
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 608
- 872
ila sijawahi kujimbulisha Tangu nimejiunga nikawa situmii mara kwa mara.We umejiunga toka 1 april 2020 acha ujinga bwana mdogo
Jibu Zuri, na lina busara ndani yake.ila sijawahi kujimbulisha Tangu nimejiunga nikawa situmii mara kwa mara.
Niwie radhi kwa ujinga wangu mkuu
Na ujinga huu umetokana na kutokujua matumizi kwa ufahama matumizi ya jf
Uko sahihi brother ningeomba ubadilishe baadhi ya sehemu hasa uliposema umejiunga majuziila sijawahi kujimbulisha Tangu nimejiunga nikawa situmii mara kwa mara.
Niwie radhi kwa ujinga wangu mkuu
Na ujinga huu umetokana na kutokujua matumizi kwa ufahama matumizi ya jf
Mkuu uko sawa ila angalia umeshindwa Kumrekebisha ila uliona bora "nipanic na kutoa povu"Jibu Zuri, na lina busara ndani yake.
Najua amejisikia vibaya maana alitaka upanic mtoleane mapovu.
sikutaka tufike huko maana hakuna faida ya kufika huko nilichagua kushindwaJibu Zuri, na lina busara ndani yake.
Najua amejisikia vibaya maana alitaka upanic mtoleane mapovu.
sawa,ahsanteUko sahihi brother ningeomba ubadilishe baadhi ya sehemu hasa uliposema umejiunga majuzi
Samahani kama nmekukosea mkuusikutaka tufike huko maana hakuna faida ya kufika huko nilichagua kushindwa
yamekwisha mkuuSamahani kama nmekukosea mkuu