Msamalo Village
Member
- Apr 6, 2023
- 6
- 6
Karibu kiongoziMimi ndimi "msamalo village" member mpya katika jukwaa hili naombeni ridhaa yenu kuwepo nanyi humu ndani.
Asante sana mkuu. tupo pamojaKaribu kiongozi
Nini mkuu😂Aisee hii kweli kasheshe,
Mkuu ID`s za Village zimekuwa nyingi mpaka siziamini tena.Nini mkuu
Kwanini mkuu?Aisee hii kweli kasheshe,
Una maana gani mkuu?Nina mashaka na huu ugeni sio nani kweli[emoji1787]maana ndo huwa anajitabulishaga hivi[emoji23]kwakweli anisamee
Ondoa mashaka mkuu!Mkuu ID`s za Village zimekuwa nyingi mpaka siziamini tena.
Asante sana! nimekaribiaKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Kama Mpwayungu Village vile.Asante sana! nimekaribia
Lovie ladyMpwayungu on his best😕😕😕
Yes My DrLovie lady
Mbona kama tunakufahamu, au tunafananishaMimi ndimi "msamalo village" member mpya katika jukwaa hili naombeni ridhaa yenu kuwepo nanyi humu ndani.