Hodi humu ndani

karume kenge

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
568
Reaction score
421
Habari zenu wa ndugu mi mgeni hum hamjambo wakubwa wadogo marahaba nimeona sio vr kuingia nyumba ya mtu bila kutoa salam wala kupiga hodi si katika maadili yetu watanzania hasa msukuma mie nilie fundishwa maadili ya mila na desturi asanteni sana nime humu kwaa ajili ya kuelimishana na kibadirishana mawazo tofaut ili nakaribisha kukosolewa pale napo kosa na pia natumai nanyi mko tayari kukosolewa na kama hakuna kukosoana ntatika humu kwa sababu wote tutakua ma nyumbu tu haiwezekani watu elfu kadhaa tukawa na msimamo mmoja thenks
 
karibu..jukwaa la utambulisho!
 
Karibu sana jisikie uko jukwaani kusema yasliyo moyoni bila haya.
 
Mlango ujauona?Mbona umepitia dirishan!!!!KARIBU SANA LAKIN NINA MASHAKA NA WEWE.
 
Huyu kama namfahamu vile, huyu sio mgeni humu, amevaa nguo zingine tu lakini ni mwenyeji humu
 
Karibu mkuu ila natafuta mschana bikra wa kisukuma nioe naskia wanaheshma sana ni pm km utafanikiwa
 
Asanten sana wakuuu kwa kunikaribisha hii inaonyesha ni namna gani mlivyo waungwana na mnapenda wageni asante singo daata tatee chipoloplo sungwaa ulemola nnamalaaa abastian nimepitia mlangon mkuu
 
Umependa kukoselewa: kibadirishana=kubadilishana; ntatika=?; thenks=thanks
Pole sana ni katika kuwekana sawa pindi unapokosea. Natumai sijakukwaza
 
Asante kwezisho kwa kunikumbusha nafikir ni mambo tu ya tarakim asante mkuu
 
Hahaha mkuu umetisha lakini hata ww hebu rudia hiyo sentesi ulo andika unaionaje halafu nijibu
 
Aah wapi! wewe huna ugeni wowote unaonekana sugu kabisa wewe
 

Kwa vile umesema upo tayari kukosolewa, naomba nikosowe:
Sio thenks Ni thanks
Sio kibaridishana Ni kubadilishana
Mengineo nafumba macho na nachukulia Ni typing error. Rekebisha kwanza hayo halafu njoo tucheze zetu
Karibu Sana jamii forums[emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…