Hodi humu ndani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
11,229
Reaction score
13,442
WanaJF napenda kusema nimejifunza mengi na nimeweza kujua mengine ambayo nilikuwa siyajui naomba kuwa pamoja nanyi
asante
 
WanaJF napenda kusema nimejifunza mengi na nimeweza kujua mengine ambayo nilikuwa siyajui naomba kuwa pamoja nanyi
asante

karibu sana Black woman....utapenda kinywaji gani?:decision:
 
Inatakiwa unione mimi ndo kiongozi wa humu,Cha kwanza nipe namba zako kuna kitu cha kukuelekeza sawa?
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…