Hodi humu ndani

Welcome Clara
Call me xaed watch out kuna watekaji humu ndan [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Njoo moja kwa moja mpaka Pm uweze kupata maelekezo!!!
 
Karibu Clara,,,

Ngoja nijumlishe namba hizi Clara+ Xav= 8
Nane ni namba inayogawanyika kwa mbili,hii ina maana kimahesabu inatakiwa itengenezwe bonge moja ya Combo,Xav and Clara..

Usiogope ni Combo ya kiushauri na kubadilishana mawazo,,yaan nakua kaka yako huku jamii forum nawe unakua dada wngu wa hiyari.. So karibu sana kwa mara nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…