Hodi,humu ndani

gangster44

Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
10
Reaction score
3
Habari zenu waungwana me sina mengi ya kusema ila ni kwamba me mgeni naomba mnikaribishe na mnipe mwongozo wa humu
 
Karibu saaana Mkuu ila uwe na subira na moyo wa chuma
Maana majibu ya wananzengo wenzangu humu unaweza ukajutia kwa nini ulinunua simu
 
Karibu. Hapa ni mrufuku kuquote thread ndefu alafu unaweka emoji za kubenjua mdomo
 
Habari zenu waungwana me sina mengi ya kusema ila ni kwamba me mgeni naomba mnikaribishe na mnipe mwongozo wa humu
Karibu sana mkuu. Mwongozo ni huu; 'za kuambiwa changanya na za kwako humu'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…