Hodi humu ndani.

Gamlemilwe

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
290
Reaction score
200
Nabisha hodi humu ndani JF, baada ya kuona Facebook michosho nadhani hii ni sehemu salama kwangu kwa kupata changamoto mbalimbali.Naomba ukaribisho wenu!!
 
Kwa nini umeanzia jukwaa hili, au umekuja kwa kazi mahususi?
 
Umetokea Lumumba ama???
 
Umbea,unafiki,ukuda na mengine yanayofanana na hayo hapa Jf si penyewe.
 
Hujaona sehemu ya kulitundika hili bandiko lako hadi uliweke humu kwenye jukwaa la siasa? We kenge kweli mi nilijua kuna mh flan kaingia humu na mambo mazito kumbe unataka kukaribishwa tu! Una bahati leo wangenipiga ban humu senz sana,
 
Nabisha hodi humu ndani JF, baada ya kuona Facebook michosho nadhani hii ni sehemu salama kwangu kwa kupata changamoto mbalimbali.Naomba ukaribisho wenu!!

Karibu ndani
 
Karibu ila tambua kuna nyakati nyingine utakutana na watu ambao watakuwa wameamka na mood mbaya na wataku-provoke. Usi panic. Wala kujishughulisha nao. U just do what u think is right. Mwenzio nilijibizana kidogo na jamaa aliniprovoke nikapigwa ban hadi 2015. Hapa nimerudi baada ya kuomba sana msamaha mkuu
 
Karibu ndani, ila umbea wa feisi buku huku hautakiwa
Nabisha hodi humu
ndani JF, baada ya kuona Facebook michosho nadhani hii ni sehemu salama
kwangu kwa kupata changamoto mbalimbali.Naomba
ukaribisho wenu!!
 
Hujaona sehemu ya kulitundika hili bandiko lako hadi uliweke humu kwenye jukwaa la siasa? We kenge kweli mi nilijua kuna mh flan kaingia humu na mambo mazito kumbe unataka kukaribishwa tu! Una bahati leo wangenipiga ban humu senz sana,

Kuwa mstaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…