hey everybody in the house of great thinkers.ni furaha kwangu kuwa mmoja wenu rasmi kwani nimekua mfuatiliaji mzuri wa forum hii kwa muda mrefu na kufaidika kwa maoni na threads zenu mbalimbali hivyo nami nimeamua nijiunge nanyi ili nami niwe naweza kuleta kwenu maoni na mawazo yangu kwa lengo la kusaidiana,elimishana na kupeana changamoto za kimaisha.love you all.thanx.
asante sana.karibu sana jisikie uko nyumbani
karibu sana.....
ukifeel upweke humu nakukaribisha pm.
waweza niuliza chochote.