binti maguta
Member
- Dec 22, 2014
- 27
- 16
Jaman wenyeji mpo...... ???? Mi mgeni mitaa hii
Karibu sana ila uwe makini na panyaroad
Asante sana ila panya dawa yao paka shume
Karibu uwe makini waombaji hela
Karibu uwe makini waombaji hela
binti maguta mimi siombagi nachukuaAsante sana miss chagga....... Nko makin sana
binti maguta mimi siombagi nachukua
...duh...kumbe kn waomba hela humu...asee..
Asante sana miss chagga....... Nko makin sana